SOHEECO PROJECTS ni kituo na jukwaa sahihi kwako lililosajiliwa kisheria Tanzania (BRELA Na. 638459 na TIN: 145-067-693), ili kuondokana na migogoro ya mahusiano na ndoa, kujikwamua kiuchumi kwa kupata biashara bora ya kufanya, kuondokana na magonjwa sugu na ya uzazi, na yanayokunyima usingizi, na kusimamia Taasisi kwa ufanisi na kudhibiti madeni huku ukiongeza FAIDA. Vitengo VITATU - SOHEECO AFYA, SOHEECO JAMII na SOHEECO UCHUMI ndani ya KITUO na JUKWAA moja.
👤Login/ Ingia kwenye Akaunti Yako. Kama huna akaunti bofya 👉 JISAJILI SASA









Mteja SOHEECO, Mwanza Tz –
USHUHUDA I TESTMONY
Nina mteja yuko Mwanza, Tz, umri mkubwa ameshafika kwenye menopause, ana presha ya kupanda. Alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya miguu hasa wa kushoto kuanzia kwenye vidole hadi kwenye nyonga, akawa analala kwa shida na hadi kanisani misa za asubuhi alikuwa hawezi kwenda,
Nikampatia Tre en en 120 Capsules Kopo 1, Omega 3 60 Caps – kopo 1 na Garlic 60 Tabs – Pkt.1. Baada ya wiki 1 sasa ameweza kulala vizuri, maumivu yamepungua sana, anaweza kwenda kufika kanisani na kusali misa za asubuhi na anajiandaa kuagiza na Cal Mag 90 Tabs