Mipango ya Kiutendaji kuanzia 2025 hadi sasa

Mwaka 2025 tulizindua tovuti ya SOHEECO PROJECTS (https://soheecoprojects.com), lililokuwa LENGO KUU, kwa ajili ya kuwasilisha huduma za KIJAMII, KIAFYA, na KIUCHUMI, kwa mpangilio bora zaidi, ikijumuisha makala za kila wiki, ushauri wa kitaalamu, mifumo (Apps & Tovuti) na bidhaa mbalimbali yaani e-Books, mbolea ya SuperGro na Virutubisho Lishe.
 
Walengwa ni waajiriwa, waajiri/ wamiliki, wafanyabiashara, wakulima, wanandoa, vijana walioko kwenye mahusiano, na wagonjwa wa magonjwa sugu (yasiyoambukiza).
 
Kwa mwaka huu 2026, kila mwezi, tumejipanga kutekeleza hayo tukilenga kukuza ufanisi katika nyanja mbalimbali za kijamii, kiafya na kiuchumi.

Mipango yetu ya kila mwezi

Januari: Mwezi wa Kuanza Upya Na Kujenga Msingi Wa Mafanikio

Walengwa haswa ni watu wanaotafuta sana fedha na kuweka mipango ya mwaka.

Uchumi
  1. Hatua 10 za Kutengeneza Bajeti ya Familia Itakayokusaidia Kutimiza Malengo ya Mwaka
  2. Njia 12 za Kuongeza Kipato Bila Kuacha Kazi Yako
  3. Hatua 10 za Kuongeza Mauzo na Faida za Biashara Mwanzoni mwa Mwaka
  4. Jinsi ya Kuandaa Bajeti ya Biashara Itakayokuongoza Mwaka Wote
  5. Hatua 10 za Kuandaa Bajeti ya Taasisi kwa Mwaka Mpya
  6. Mwongozo wa IPSAS: Mambo Muhimu ya Kuzingatia Mwanzoni mwa Mwaka wa Fedha

Afya

  1. Hatua 10 za Kuanza Mwaka Ukiwa na Afya Bora na Nguvu Mpya
  2. Sababu 10 Zinazokufanya Uchoke Kila Siku na Namna ya Kuziondoa
  3. Vyakula 12 Vinavyosaidia Kuongeza Kinga ya Mwili Mwanzoni mwa Mwaka

Jamii

  1. Hatua 10 za Kuweka Malengo ya Familia Yanayotekelezeka
  2. Makosa 10 Yanayowafanya Vijana Washindwe Kutimiza Malengo Yao
  3. Tabia 10 za Watu Wanaofanikiwa Ambazo Unapaswa Kuanza Nazo Mwaka Huu

Februari: Mwezi wa Upendo, Mahusiano Imara na Uchumi wa Familia

Walengwa haswa ni wapendanao katika msimu wa Valentine / mahusiano.

Jamii
  1. Sababu 10 Zinazosababisha Migogoro ya Ndoa na Jinsi ya Kuitatua Mapema

  2. Hatua 10 za Kujenga Mahusiano Yenye Heshima, Upendo na Maelewano ya Kudumu

  3. Makosa 10 Yanayoharibu Mahusiano Wakati wa Valentine na Jinsi ya Kuyakwepa

Afya

  1. Lishe Bora kwa Wanandoa: Vyakula Vinavyoongeza Afya na Nguvu

  2. Dalili 10 za Stress Katika Mahusiano na Njia Bora za Kuishinda

  3. Kwa Nini Mawasiliano Bora Ni Muhimu kwa Afya ya Akili ya Wanandoa

Uchumi

  1. Makosa 10 ya Fedha Yanayovunja Ndoa na Jinsi ya Kuyakwepa

  2. Biashara 12 Zenye Faida Ambazo Wanandoa Wanaweza Kuanzisha Pamoja Tanzania

  3. Hatua 10 za Kusimamia Fedha za Familia Bila Migogoro

  4. Makosa ya Ukusanyaji wa Mapato Katika Shule na Taasisi
  5. Hatua za Kuboresha Internal Controls (Udhibiti wa Ndani)

Machi: Mwezi wa Afya, Tija na Ustawi wa Familia

Malengwa hasa ni wale wenye changamoto za magonjwa sugu.

Afya
  1. Dalili 10 za Kisukari Ambazo Watu Wengi Hawazitambui Mapema
  2. Lishe Bora kwa Watu Wenye Kisukari na Presha: Vyakula Vinavyosaidia Kudhibiti Magonjwa Sugu
  3. Dalili 10 za Presha ya Damu na Njia Bora za Kujikinga
  4. Makosa 10 ya Mtindo wa Maisha Yanayoongeza Hatari ya Kisukari, Presha na Magonjwa ya Moyo

Jamii

  1. Jinsi Familia Inavyoweza Kumsaidia Mgonjwa wa Kisukari Kuishi Maisha Bora
  2. Jinsi ya Kujenga Mazingira Yanayochochea Afya Bora Ndani ya Familia

Uchumi

  1. Jinsi Magonjwa Sugu Yanavyoweza Kuathiri Uchumi wa Familia na Namna ya Kujilinda
  2. Njia 10 za Kuokoa Gharama za Matibabu Kwa Kuwekeza Katika Afya Bora
  3. Kwa Nini Kuzuia Magonjwa Ni Uwekezaji Bora Kuliko Kutibu
  4. Teknolojia 10 Zinazorahisisha Uhasibu na Kuongeza Tija
  5. Makosa ya Uhasibu Yanayopunguza Faida za Biashara

Aprili: Mwezi wa Kilimo Chenye Tija, Tathmini ya Uzalishaji na Uwajibikaji

Walengwa haswa ni wakulima wakijitathmini kutokana na mavuno wanayopata, faida na hasara za kilimo na za kutumia mbinu bora za kilimo.

Afya

  1. Faida 12 za Kula Mboga na Matunda Kila Siku kwa Afya Bora

  2. Mazao 15 ya Shambani Yanayosaidia Kuzuia Kisukari, Presha na Magonjwa ya Moyo

Jamii

  1. Njia 10 Ambazo Kilimo Kinaweza Kuongeza Kipato na Kuboresha Uchumi wa Familia
  2. Kilimo kwa Vijana: Hatua 10 za Kufanikiwa Katika Kilimo Chenye Faida
  3. Jinsi Kilimo Kinavyoweza Kuimarisha Ushirikiano na Umoja wa Familia
  4. Hatua 10 za Wanandoa Kufanikiwa Kupitia Kilimo na Uwekezaji wa Pamoja

Uchumi

  1. Jinsi ya Kulima Mahindi Kwa Faida Kubwa Tanzania

  2. Mbolea Bora kwa Mahindi: Asilia, Kemikali au Super Gro?

  3. Hatua 10 za Kuandaa Ripoti za Kifedha Zenye Uwazi na Zinazoaminika

  4. Hatua 10 za Kuongeza Tija na Ufanisi Katika Taasisi Bila Gharama Kubwa

  5. Makosa 10 ya Uhasibu Yanayofanya Wajasiriamali Kupoteza Faida

  6. Makosa 8 ya Usimamizi wa Rasilimali Watu Yanayopunguza Tija ya Taasisi

Mei: Mwezi wa Ujasiriamali, Masoko na Kuongeza Thamani ya Mazao

Walengwa hasa ni wajasiriamali, wafanyabiashara, wakulima, wanandoa, familia na viongozi wa taasisi wanaolenga kuongeza kipato, thamani ya mazao na ufanisi wa usimamizi.

Afya

  1. Lishe Bora kwa Wazee: Vyakula 12 Vinavyoongeza Kinga ya Mwili na Kupunguza Hatari ya Magonjwa
  2. Hatua 10 za Kudumisha Afya Ukiwa Mfanyabiashara Mwenye Ratiba Nyingi

Jamii

  1. Makosa 10 Yanayosababisha Migogoro ya Familia na Njia Bora za Kuyatatua
  2.  Tabia 12 za Familia Zinazojenga Mafanikio ya Kiuchumi na Kijamii
  3. Makosa 10 Yanayoharibu Malezi ya Watoto Katika Dunia ya Teknolojia

Uchumi

  1. Biashara 20 Ndogo Zinazoweza Kuanzishwa Kwa Mtaji Mdogo Tanzania
  2. Makosa 10 Yanayofanya Biashara Ndogo Kufeli Tanzania
  3. Hatua 10 za Kuongeza Thamani ya Mazao na Faida Baada ya Mavuno
  4. Hatua 10 za Vikundi vya Ushirika Kufanikiwa Kibiashara na Kuongeza Kipato
  5. Hatua 10 za Kusimamia Fedha za Shule na Taasisi za Elimu Kwa Ufanisi
  6. Mwongozo wa IPSAS: Mambo Muhimu kwa Taasisi za Kidini na NGOs Kabla ya Kuandaa Taarifa za Kifedha
  7. Hatua 10 za Kuimarisha Uwajibikaji wa Fedha na Kuzuia Upotevu wa Rasilimali Katika Taasisi

Juni: Mwezi wa Elimu, Ujuzi na Tathmini ya Nusu Mwaka

Walengwa hasa ni wanafunzi, wazazi, wafanyakazi, wajasiriamali, wakuu wa shule, wahasibu, viongozi wa taasisi na watu wanaotaka kuongeza ujuzi na kutathmini maendeleo ya nusu mwaka.

Afya

  1. Hatua 10 za Kulinda Afya ya Familia na Kuzuia Magonjwa Katika Maisha ya Kila Siku

  2. Lishe Bora kwa Wanafunzi: Vyakula Vinavyoongeza Kumbukumbu na Ufanisi wa Masomo

Jamii

  1. Hatua 10 za Familia Kutathmini Malengo Yake ya Nusu Mwaka na Kurekebisha Mwelekeo

  2. Jinsi Wanandoa Wanavyoweza Kujifunza Pamoja na Kujenga Maendeleo Endelevu ya Familia

  3. Njia 10 za Kuwalea Watoto Wanaopenda Kusoma na Kujifunza Kila Wakati

Uchumi

  1. Hatua 10 za Kuendesha Mafunzo ya Wafanyakazi Yanayoongeza Tija na Ufanisi
  2. Jinsi QuickBooks Inavyorahisisha Usimamizi wa Fedha za Shule na Taasisi za Elimu
  3. Hatua 10 za Kufanya Tathmini ya Bajeti ya Nusu Mwaka kwa Biashara na Taasisi
  4. Mwongozo wa Kodi kwa Wajasiriamali: Mambo Muhimu ya Kuzingatia Katikati ya Mwaka
  5. Makosa 10 Yanayofanya Biashara na Taasisi Kushindwa Kutimiza Malengo ya Nusu Mwaka
  6. Jinsi ya Kutathmini Utekelezaji wa IPSAS Katikati ya Mwaka wa Fedha

Julai: Mwezi wa Ukuaji, Uongozi na Ubunifu

Walengwa hasa ni viongozi wa familia, wanandoa, vijana, wajasiriamali, wafanyakazi, mameneja, wakuu wa shule na viongozi wa taasisi wanaolenga kukuza uwezo na matokeo katika nusu ya pili ya mwaka.

Afya

  1. Hatua 10 za Kulinda Afya ya Akili Katika Kipindi cha Shinikizo la Kazi na Biashara
  2. Vyakula 12 Vinavyoongeza Umakini, Nguvu za Ubongo na Ufanisi Kazini

Jamii

  1. Jinsi ya Kujenga Imani na Uaminifu Katika Ndoa Inayokabili Changamoto za Maisha
  2. Hatua 10 za Kutatua Migogoro ya Familia Bila Kuvunja Mahusiano
  3. Jinsi ya Kuwajengea Watoto Nidhamu ya Kazi, Uwajibikaji na Kujitegemea

Uchumi

  1. Hatua 10 za Kupanua Biashara Kutoka Ndogo Kwenda Kiwango Kinachofuata
  2. Njia 10 za Kutafuta Masoko Mapya ya Bidhaa na Huduma Tanzania
  3. Jinsi ya Kutengeneza Mfumo wa Biashara Unaoweza Kufanya Kazi Bila Kukutegemea Muda Wote
  4. Hatua 10 za Kuongoza Timu za Kazi Zenye Ufanisi Katika Taasisi
  5. Jinsi ya Kutumia Viashiria vya Utendaji (KPIs) Kupima Mafanikio ya Taasisi
  6. Makosa 10 ya Uongozi Yanayopunguza Tija Katika Biashara na Taasisi
Agosti: Mwezi wa Ushirika na Maendeleo ya Jamii

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mipango ya Ushirika Ili Kukuza Uchumi wa Jamii. 2. Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo Katika Mashirika ya Kijamii. 3. Jinsi ya Kuanzisha Mfumo wa Akiba na Mikopo kwa Wanajamii. 4. Uongozi Imara Katika Taasisi Kupitia Maadili na Uwajibikaji. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Mambo 10 Muhimu ya Kuzingatia Katika Malezi ya Watoto. 2. Lishe Sahihi Kwa Wanawake Wajawazito na Wanaonyonyesha.

Septemba: Mwezi wa Ufanisi wa Biashara na Uongozi

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mbinu za Kuboresha Mahusiano ya Kikazi Katika Taasisi. 2. Kuimarisha Biashara Ndogo Kupitia Ufuatiliaji wa Taarifa za Kifedha. 3. Matumizi ya Teknolojia Kuboresha Huduma za Kifedha. 4. Uongozi Bora Katika Biashara na Taasisi za Elimu. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Kujenga Mazingira Bora ya Mawasiliano Katika Familia. 2. Lishe Yenye Virutubisho Muhimu kwa Maisha Bora.

Oktoba: Mwezi wa Maendeleo Endelevu

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Kuendeleza Kilimo Kwa Matumizi ya Mbinu za Kisasa. 2. Mipango ya Mwaka Mpya ya Fedha na Miradi ya Maendeleo. 3. Kujenga Mfumo Bora wa Usimamizi wa Rasilimali Watu. 4. Elimu ya Mikopo na Uwekezaji kwa Jamii. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Namna ya Kushinda Changamoto za Ndoa Katika Dunia ya Sasa. 2. Lishe ya Kinga kwa Magonjwa Hatari.

Novemba: Mwezi wa Kazi na Ustawi

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mipango ya Kuimarisha Tija ya Kazi Katika Mwaka Unaomalizika. 2. Ushauri wa Fedha kwa Mipango ya Mwaka Mpya. 3. Namna ya Kuandaa Ripoti ya Kifedha ya Mwisho wa Mwaka. 4. Kuimarisha Ushirikiano wa Kikazi Katika Taasisi na Mashirika. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Misingi ya Maisha Bora Katika Familia. 2. Lishe Sahihi Katika Msimu wa Sherehe.

Desemba: Mwezi wa Shukrani na Matayarisho ya Mwaka Mpya

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Tathmini ya Mafanikio ya Mwaka 2026. 2. Kujifunza Kutoka Changamoto Ili Kuimarisha Mwaka Mpya. 3. Mikakati ya Kuboresha Huduma za Kifedha kwa Mwaka 2027. 4. Kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa Kupitia Mitandao ya Kitaaluma. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Asante kwa Familia na Wanajamii kwa Ushirikiano Mwaka Huu. 2. Jinsi ya Kuandaa Lishe Bora kwa Sherehe za Mwaka Mpya.

MPANGO MKUU WA MWAKA

Mwaka 2025

Kuanzisha tovuti (WEBSITE) ya SOHEECO Projects itakayojumuisha maudhui kutoka ACAMABECA (maudhui makuu) na FUHUWI (maudhui kiasi). Tovuti ya soheecoprojects.com ilikamilika na kutoa taarifa na huduma kwa masuala ya kijamii, kiafya, na kiuchumi.

Mwaka 2026

Kuiboresha tovuti (WEBSITE) ya SOHEECO Projects, na kuongeza wigo wa kutoa huduma na kuuza bidhaa bora zihusuzo jamii, afya na uchumi. Kubuni Apps zitakazoisadia Taasisi na mtu binafsi kuweza kufatilia hali ya kiuchumi ya taasisi na mtu binafsi, hali ya kijamii na kiafya hususani lishe bora.

HITIMISHO

Kupitia mipango hii, SOHEECO Projects inalenga kuimarisha maisha ya jamii kwa kutoa maarifa, huduma bora, na usaidizi wa kitaalamu katika nyanja mbalimbali. Mwaka 2026 ni mwaka wa mafanikio makubwa na ubunifu zaidi!  SOHEECO PROJECTS ADMINS, 2019 – 2026

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye
SOHEECO PROJECTS

SOHEECO PROJECTS

Kwa kawaida majibu hutolewa ndani ya saa moja.

I will be back soon

SOHEECO PROJECTS
“Habari 👋
Ni rafiki yako Francisco J. Kagoma, CEO & Founder | SOHEECO PROJECTS. Naweza kukusaidia vipi?”
WhatsApp