HUDUMA ZETU
USHAURI WA BINAFSI MTANDAONI VIA CHAT
Huduma ya faragha kwa mtu mmoja mmoja, ambapo unapata ushauri wa kina kuhusu JAMII, AFYA na UCHUMI.
Mahali: Online
Muda: Kila wiki
Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-
MAFUNZO YA MAHUSIANO, NDOA & FAMILIA
Tunasaidia wanandoa, wapenzi, wachumba & familia katika kujenga uhusiano mzuri, na mawasiliano Bora.
Mahali: Online
Muda: Kila wiki
Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-
MAFUNZO ENDELEVU - UJASIRIAMALI & BIASHARA
Mbinu za kuendesha biashara kwa ufanisi, kuweka mipango ya kifedha&kujifunza mikakati bora ya masoko
Mahali: Online
Muda: Kila wiki
Kuanzia Tsh.1,500/- hadi Tsh.10,000/-
MAFUNZO YANAYOTOLEWA
RATIBA YA MAFUNZO
MAENEO MAKUU TUNAYOSHUGHULIKA NAYO
E-BOOKS ZETU (VITABU VYETU KATIKA SOFTCOPY)
, MBOLEA YA MAJI
NA
VIRUTUBISHO VYETU
Nunua vitabu vyetu upate kuongeza maarifa kwa bei ya punguzo; kujua ni biashara zipi zinazoongeza kipato ufanye, kujua kusimamia biashara, kujua uyamudu vipi mahusiano na kujenga ndoa na familia bora, kujua ni virutubisho vipi bora na sahihi vya kujenga afya bora na imara.
****************************************************************
Nunua mbolea ya maji (Super Gro), kwa bei ya punguzo, yenye kuongeza uzalishaji na ubora wa mazao zaidi ya aina yoyote ya mbolea DUNIANI. Hii haina madhara kwa afya ya binadamu kama zile mbolea nyingine zenye kemikali sumu. Hukufanya utumie gharama ndogo za kilimo ila ukiwa na uzalishaji mara 2 hadi 3 ya ile ya kutumia mbolea zenye kimikali sumu.
****************************************************************
Pia pata virutubisho vya asili vyenye matokeo bora kwa bei ya punguzo kabisa, vitakavyokusaidia kuondokana na magonjwa sugu kama presha, kisukari, saratani, uvimbe, PID, matatizo ya mifupa, n.k.
****************************************************************
Ofa hii ya muda mfupi. Wahi sasa, upate virutubisho, mbolea na e-Books zetu.
WASHIRIKA WETU
Tunashirikiana na taasisi za kimataifa ili kuhakikisha unapata huduma bora, na virutubisho bora zaidi katika afya, bidhaa bora za usafi na mbolea bora zaidi ya kilimo chenye mafanikio zaidi na kwa ustawi wa jamii kwa ujumla.
NEOLIFE INTERNATIONAL LLC ni watengenezaji na wasambazaji  wa virutubisho vya afya, ASILIA, mbolea ya asili (Super Gro), na bidhaa bora za usafi zinavyotegemewa duniani kote. Vimethibitishwa kimataifa na kisayansi kuwa virutubisho vinaleta suluhu kwa magonjwa yote yasiyoambukiza.
Mbolea hiyo inaongeza uzalishaji wa mazao mara 2 hadi 3, huokoa gharama za mkulima. Bidhaa zao za usafi huboresha mazingira kwa kiwango cha juu ukilinganisha na bidhaa za usafi za makampuni mengine.
ETERNAL INTERNATIONAL CO. LTD ni watengenezaji na wasambazaji wa bidhaa za lishe bora asilia, kinga mwilini, na huduma za kitabibu. Zimethibitishwa kimataifa kuwa zinaleta suluhu kwa magonjwa yote yasiyoambukiza. Wana-kliniki za kupima mfumo mzima wa afya kwa magonjwa yasiyoambukiza, zaidi ya CTC Scan, Utra sound, n.k.
Huduma za upimaji zinafanywa na Daktari wa Kitabibu, Msomi, na kukufafanulia matokeo na kukuandikia virutubisho vya kutumia, pamoja na ushauri wa aina ya vyakula vya kutumia au kuacha, na mtindo wa maisha wa kuacha au kuujenga.
USHUHUDA KUTOKA KWA WATEJA WETU

Mhasibu

Mkulima & Mjasiriamali

Mgeni wa Tovuti Yetu

Mhasibu
"Navutiwa na 'WhatsApp Status' zenu SOHEECO Projects kuhusu mahusiano"
Tunashukuru kuliona hilo, hakika ukikosa kuvutiwa na yahusuyo kada yako, iwe ni Uchumi, Uhasibu, Ujasiriamali, Umeneja, Ujasiriamali, Biashara, Fedha, Menejimenti, Ukaguzi, huwezi kosa la kukugusa hata kwenye Mahusiano, Ndoa, Familia, na Afya.
SOHEECO PROJECTS tumejipanga kukuhudumia nyanja tatu kuu za maisha ya mtu - Afya, Mahusiano na Uchumi.
Share na wengine USHUHUDA huu nao wapate kunufaika
Mabamba, Kibondo, Tanzania
26 May 2025 at 08:01:00
“Baada ya ushauri wa kilimo, hasa kwa kutumia SUPER Gro, mavuno yangu yameongezeka mara 3!”
– Anna, Mbeya
“Mama yangu sasa ana mpango wa bajeti na biashara ndogo.”
- Joseph, Kigoma
“Tulipata maelewano katika ndoa yetu, Asanteni sana.”
-Mussa & Aisha, Mwanza
TAKWIMU YA WALIOHUDUMIWA
👨🏫
700+ Watu wamefundishwa kupitia mafunzo yetu ya biashara, kilimo, afya, na familia
MASWALI YANAYOULIZWA KILA MARA
MAKALA KUTOKA INSTAGRAM YETU
















MAKALA KUTOKA CHANNEL YETU YA YOUTUBE
SOCIAL, HEALTH & ECONOMIC PROJECTS
SOCIAL, HEALTH & ECONOMIC PROJECTS


Mwongozo Kwa Wageni wa Tovuti yetu, MWANZO hadi MWISHO

Hatua 5 za kufuata ili kuweza kununua bidhaa au Virutubisho vyetu hadi kufika mlangoni pako

Hatua kwa hatua ya Kujisajili ili kunufaika na Huduma zetu













































