Description
🧠 Je, unajisikia hivi mara kwa mara?
❌ Maumivu ya goti bila kuumia
❌ Maumivu ya nyonga ukikaa au kusimama muda mrefu
❌ Unyayo kuuma hasa asubuhi
❌ Mwili kuchoka hata bila kufanya kazi nzito
❌ Presha kubadilika badilika
❌ Virutubisho unatumia lakini havikusaidii kabisa
👉 Ukweli ni huu:
Tatizo linaweza lisiwe mifupa… bali ni SELI zako hazifanyi kazi vizuri
⚠️ Tatizo Kubwa Ambalo Watu Wengi Hawajui
Watu wengi wanatumia:
- Calcium
- Pain killers
- Supplements mbalimbali
Lakini bado maumivu yanaendelea…
👉 Kwa nini?
Kwa sababu:
❌ Seli hazipokei virutubisho vizuri
❌ Seli hazitoi uchafu (toxins)
❌ Mfumo wa mwili unakuwa “blocked”
➡️ Hapo ndipo maumivu ya ndani yanaanzia
💊 TRE-EN-EN ni nini hasa?
Tre-en-en ni kirutubisho maalum kinacholenga kuimarisha utendaji wa seli (cell membrane function)
👉 Kazi yake kuu:
✔️ Kufungua “milango ya seli”
✔️ Kuruhusu virutubisho kuingia vizuri
✔️ Kusaidia taka (waste) kutoka nje ya seli
✔️ Kurudisha mwili kwenye balance yake ya asili
📌 Hii ndiyo foundation ya afya — bila seli kufanya kazi, hakuna tiba inafanya kazi
🔬 Inafanya kazi vipi? (Deep Understanding)
Fikiria seli kama nyumba:
- Mlango umefungwa → virutubisho haviingii
- Taka zimejaa → mwili unachoka
- Mfumo unaharibika → maumivu yanaanza
👉 Tre-en-en:
✔️ Inaboresha cell membrane permeability
✔️ Inafanya seli ziwe “active” tena
✔️ Inaruhusu mwili kujirekebisha naturally
📌 Ndiyo maana hutumika kama msingi wa program nyingi za afya
🌿 Imetokana na nini?
✔️ Mafuta asilia kutoka nafaka (whole grain lipids)
✔️ Polyunsaturated fatty acids (PUFAs)
✔️ Mfumo wa kisayansi wa NeoLife (unique lipid blend)
👉 Hii siyo dawa — ni lishe ya seli (cell food)
🚀 Faida kuu za TRE-EN-EN
🦴 1. Huondoa Maumivu ya Ndani ya Mifupa
- Goti
- Nyonga
- Unyayo
👉 Kwa sababu inarekebisha chanzo (cells)
⚡ 2. Huongeza Nguvu ya Mwili
- Mwili unapata energy naturally
- Uchovu unapungua
❤️ 3. Husaidia Kudhibiti Presha
- Inaboresha mzunguko wa damu
- Inasaidia mwili kujibalansi
🔄 4. Huongeza Ufanisi wa Virutubisho Vingine
👉 Ukichukua pamoja na:
➡️ Zinakuwa na nguvu zaidi kufanya kazi
🧬 5. Hurejesha Afya ya Mwili kwa Ujumla
- Mfumo wa kinga
- Metabolism
- Recovery ya mwili
📊 Matumizi (Dozi)
✔️ Vidonge 3 kwa siku (1×3 au 3×1)
✔️ Tumia kila siku kwa matokeo bora
📌 Katika program nyingi za afya, Tre-en-en hutumika kama msingi wa matibabu ya lishe
🎯 Nani anapaswa kutumia TRE-EN-EN?
✔️ Wenye maumivu ya miguu (goti, nyonga, unyayo)
✔️ Wenye presha
✔️ Wenye uchovu sugu
✔️ Wanaotumia supplements lakini hazifanyi kazi
✔️ Wanaotaka kurekebisha mwili kwa ndani
⚠️ Kwa nini hii ni muhimu sana?
👉 Bila kurekebisha seli:
❌ Calcium haitasaidia vizuri
❌ Omega 3 haitafanya kazi kikamilifu
❌ Dawa zitakuwa za muda mfupi
✅ Lakini ukiweka Tre-en-en:
✔️ Mwili unaanza kujirekebisha wenyewe
✔️ Matokeo yanakuwa ya kudumu zaidi
💥 OFA MAALUM
🔥 Ukianza na Tre-en-en leo:
🎁 Unapata:
- Ushauri wa matumizi BURE
- Mwongozo wa lishe sahihi
🛒 Agiza/ Nunua Sasa
👉 Bonyeza NUNUA SASA
👉 Lipia kwa urahisi (M-Pesa / Tigo Pesa/Halo Pesa/ Benki)
👉 Tunakuletea ulipo 🚚
⛔ Usitibu dalili tu (maumivu)
✅ Tibu chanzo (SELi)
👉 Anza na Tre-en-en leo
Wateja SOHEECO, Mabamba, Kibondo, Kigoma, Tz –
TESTIMONY I USHUHUDA
Nina wateja 3, mmoja alikuwa anasumbuliwa na ganzi, gesi tumboni, na miguu kuwaka moto. Alikuwa hawezi hata kuchuchumaa kwa zaidi ya dak.5 akipalilia Bustani yake ya mboga mboga.
Ila baada ya kumpatia Cal Mag 90 Tabs – Kopo 1, na Tre en en 120 Caps – Kopo 2, ganzi imekwisha, gesi imeisha, anaweza kulala vizuri, na maumivu yamepungua sana, anaweza SASA KUENDELEA na shughuli zake za Kilimo bila maumivu makali, na anaendelea na dozi na alimshirikisha na mumewe, maana naye maumivu ya viungo yalikuwa makali pia, na mumewe anaendelea vizuri. Wanajiandaa kuagiza Cal – Mag 90 nyingine
Mteja mwingine, yeye alichukua Tre en en 120 Caps Kopo 1, maana alikuwa analala kwa shida sana, ila sasa analala usingizi mzuri sana, tofauti na kabla