OMEGA 3 SALMON OIL – 60 Capsules, Suluhisho la Presha, Mzunguko wa Damu na Maumivu ya Miguu

(1 customer review)

Original price was: Sh 56,000.Current price is: Sh 52,000.

🚀 Rekebisha mzunguko wa damu, presha na maumivu ya miguu kwa Omega 3 yenye EPA & DHA.

Description

🧠 Unakutana na hali hizi?

❌ Maumivu ya miguu kuanzia goti hadi unyayo
❌ Miguu kuchoka haraka au kuwa mizito
❌ Presha kupanda au kushuka mara kwa mara
❌ Kizunguzungu au uchovu wa ghafla
❌ Mikono/miguu kufa ganzi

👉 Hizi ni dalili za:

⚠️ Mzunguko mbaya wa damu (poor blood circulation) + uvimbe wa ndani (inflammation)


⚠️ Tatizo Halisi Lililojificha

Watu wengi wanajaribu:

  • Dawa za maumivu
  • Calcium
  • Massage

Lakini bado hali haibadiliki…

👉 Kwa nini?

Kwa sababu:

❌ Mishipa ya damu imebanwa
❌ Damu haisafiri vizuri
❌ Kuna inflammation ndani ya joints

➡️ Hapa ndipo Omega 3 inapoingia


💊 OMEGA 3 ni nini?

Ni mafuta muhimu (Essential Fatty Acids) ambayo mwili hauwezi kuzalisha wenyewe

👉 Inajumuisha:
✔️ EPA (Eicosapentaenoic Acid)
✔️ DHA (Docosahexaenoic Acid)

DHA na EPA  ni aina za omega-3 fatty acids ambazo husaidia kwenye afya na utendaji wa maeneo ya ubongo yanayohusika na learning, memory, na concentration (focus). KIAJE? kama ifuatavyo;

DHA — kwenye “brain structure”

  • DHA ni sehemu kubwa ya muundo wa ubongo na retina ya jicho.
  • Inasaidia katika:
    • learning (kujifunza)
    • memory (kumbukumbu)
    • concentration/focus
    • mawasiliano kati ya brain cells
  • Kiwango kikubwa cha DHA hupatikana kwenye tishu za ubongo hasa maeneo yanayohusika na kumbukumbu na ufahamu na kwenye retina, hivyo ni muhimu kwa afya na utendaji wa mfumo wa neva.

EPA — kwenye “brain function & mood support”

  • EPA husaidia zaidi katika:
    • kusaidia blood circulation (mzunguko wa damu) kwenye ubongo
    • mood balance
    • kupunguza inflammation (uvimbe wa ndani mwilini)
    • mental performance kwa ujumla
  • EPA mara nyingi huhusishwa na kusaidia afya ya akili na cognitive function.

🔬 Inafanya kazi vipi? (Deep Understanding)

Fikiria mishipa ya damu kama bomba:

  • Limejaa mafuta → damu inapita kwa shida
  • Limebanwa → presha inapanda
  • Kuna uvimbe → maumivu yanaanza

👉 Omega 3:

✔️ Hufungua mishipa ya damu
✔️ Hupunguza inflammation
✔️ Hufanya damu iwe “nyepesi” kusafiri

📌 Ndiyo maana hutumika sana kwenye afya ya moyo na mishipa


🌿 Imetokana na nini?

✔️ Mafuta ya samaki (Salmon Oil)
✔️ Chanzo safi cha Omega 3
✔️ Imetengenezwa kwa ubora wa hali ya juu


🚀 Faida kuu za OMEGA 3

❤️ 1. Hushusha na Kusawazisha Presha

  • Husaidia mishipa kupanuka
  • Huboresha circulation ya damu
  • Hivyo, presha utaisikia kwa jirani.

🦵 2. Hupunguza Maumivu ya Miguu

  • Goti
  • Nyonga
  • Unyayo
    👉 Kwa kupunguza uvimbe wa ndani (inflammation)
  • Inaweza kusaidia kupunguza hatari ya baadhi ya matatizo ya viungo yanayohusiana na inflammation

🔄 3. Huboresha Mzunguko wa Damu

  • Damu inasafiri vizuri
  • Huondoa ganzi na uchovu wa miguu

🧠  4. Husaidia afya ya ubongo, mfumo wa neva na utendaji mzuri wa macho

  • Husaidia kuongeza focus na concentration
  • Husaidia afya ya akili na mood balance
  • Muhimu katika ukuaji wa ubongo na macho kwa mtoto kipindi cha ujauzito na ukuaji wa awali

❤️‍🔥 5. Hulinda Moyo

  • Hupunguza cholesterol mbaya
  • Hupunguza hatari ya magonjwa ya moyo

📊 Matumizi (Dozi)

✔️ Vidonge 3 kwa siku (3×1)

📌 Anza kidogo kisha ongeza taratibu kwa wale wenye presha


🎯 Nani anapaswa kutumia?

✔️ Wenye presha
✔️ Wenye maumivu ya miguu na joints
✔️ Wenye circulation mbaya
✔️ Wanaopata ganzi mikononi/miguuni
✔️ Wenye cholesterol
✔️ Mama mjamzito, mtoto mdogo hadi mtu mzima
✔️ Mama aliyetoka kujifungua, mtu mwenye alergy ya ngozi


⚠️ Kwa nini hii ni muhimu sana?

👉 Bila Omega 3:

❌ Damu itasafiri kwa shida
❌ Maumivu yataendelea
❌ Presha haitakuwa stable

👉 Ukiweka Omega 3:

✔️ Mwili unaanza kuwa balanced
✔️ Maumivu yanapungua
✔️ Presha inatulia


💥 OFA MAALUM

🔥 Ukiunganisha na:

✔️ Tre-en-en
✔️ Cal-Mag

➡️ Unapata matokeo ya haraka zaidi


🛒 Agiza/ Nunua Sasa

👉 Bonyeza Nunua Sasa
👉 Lipa kwa urahisi (M-Pesa / Tigo Pesa/ Halo Pesa/ Benki)
👉 Delivery hadi ulipo 🚚


⛔ Usipuuze dalili za mwili wako
✅ Rekebisha mzunguko wa damu leo

👉 Nunua Omega 3 sasa

Bado ungependa kufahamu kuhusu virutubisho vyetu?

NdiyoHapana, nataka kujifunza zaidi

1 review for OMEGA 3 SALMON OIL – 60 Capsules, Suluhisho la Presha, Mzunguko wa Damu na Maumivu ya Miguu

  1. Mteja SOHEECO

    USHUHUDA I TESTMONY
    Nina mteja yuko Mwanza, Tz, umri mkubwa ameshafika kwenye menopause, ana presha ya kupanda. Alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya miguu hasa wa kushoto kuanzia kwenye vidole hadi kwenye nyonga, akawa analala kwa shida na hadi kanisani misa za asubuhi alikuwa hawezi kwenda,

    Nikampatia Tre en en 120 Capsules Kopo 1, Omega 3 60 Caps – kopo 1 na Garlic 60 Tabs – Pkt.1. Baada ya wiki 1 sasa ameweza kulala vizuri, maumivu yamepungua sana, anaweza kwenda kufika kanisani na kusali misa za asubuhi na anajiandaa kuagiza na Cal Mag 90 Tabs

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

You may also like…

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye