GARLIC ALLIUM COMPLEX – 60 Tablets

(1 customer review)

Original price was: Sh 57,000.Current price is: Sh 53,000.

🫀 Fungua Mzunguko wa Damu • Tuliza Presha •

Description

IFAHAMU GARLIC ALLIUM NA FAIDA ZAKE

√ Inaboresha afya ya moyo

√Inasaidia blood pressure

√Ni natural anti biotics inatibu infections aina yoyote kwenye damu kwenye mkojo

√Inapambana na hatufu yoyote

√Inasaidia kufungua njia ya mkojo na kufanya mkojo u flow vizuri

√Inasaidia kuzuia uvimbe usinendelee kukua

√Inaondoa cholesterol….ikitumika na omega 3

√GARLIC ALLIUM INA ACTIVE INGREDIENT INAITWA ALLICIN…INAFANYA KAZI NZURI MNOOO.

√HIVI UNAIJUA GARLIC WEWE..INA MCHANGANYIKO WA VITUNGUU AINA 24…NATURAL ANTIBIOTIC🔥🔥🔥🔥

**************************************

Weka Oda yako Sasa (Add to Cart), Bei ZETU ni NAFUU SANA na kwa Bei ya Punguzo. WAHI SASA kabla Ofa hii ya Punguzo haijaisha na kabla BIDHAA hazijaisha.

Bado ungependa kufahamu kuhusu virutubisho vyetu?

NdiyoHapana, nataka kujifunza zaidi

1 review for GARLIC ALLIUM COMPLEX – 60 Tablets

  1. Mteja SOHEECO, Mwanza Tz

    USHUHUDA I TESTMONY
    Nina mteja yuko Mwanza, Tz, umri mkubwa ameshafika kwenye menopause, ana presha ya kupanda. Alikuwa anasumbuliwa na maumivu ya miguu hasa wa kushoto kuanzia kwenye vidole hadi kwenye nyonga, akawa analala kwa shida na hadi kanisani misa za asubuhi alikuwa hawezi kwenda,

    Nikampatia Tre en en 120 Capsules Kopo 1, Omega 3 60 Caps – kopo 1 na Garlic 60 Tabs – Pkt.1. Baada ya wiki 1 sasa ameweza kulala vizuri, maumivu yamepungua sana, anaweza kwenda kufika kanisani na kusali misa za asubuhi na anajiandaa kuagiza na Cal Mag 90 Tabs

Add a review

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye