Mipango ya Kiutendaji kuanzia 2025 hadi sasa

Mwaka 2025 tulizindua tovuti ya SOHEECO PROJECTS (https://soheecoprojects.com), lililokuwa LENGO KUU, kwa ajili ya kuwasilisha huduma za KIJAMII, KIAFYA, na KIUCHUMI, kwa mpangilio bora zaidi, ikijumuisha makala za kila wiki, ushauri wa kitaalamu, mifumo (Apps & Tovuti) na bidhaa mbalimbali yaani e-Books, mbolea ya SuperGro na Virutubisho Lishe.
Walengwa ni waajiriwa, waajiri/ wamiliki, wafanyabiashara, wakulima, wanandoa, vijana walioko kwenye mahusiano, na wagonjwa wa magonjwa sugu (yasiyoambukiza).
Kwa mwaka huu 2026, kila mwezi, tumejipanga kutekeleza hayo tukilenga kukuza ufanisi katika nyanja mbalimbali za kijamii, kiafya na kiuchumi.

Mipango yetu ya kila mwezi

Januari: Mwezi wa Mipango ya Mwaka Mpya

Walengwa haswa ni watu wanaotafuta sana fedha na kuweka mipango ya mwaka.

Uchumi

  1. Jinsi ya Kutengeneza Bajeti ya Familia Isiyoshindwa
  2. Tabia 10 Zinazoharibu Maisha ya Vijana Bila Wao Kujua
  3. Njia 8 za Kuongeza Kipato Bila Kuacha Kazi Yako
  4. Mipango ya Kuongeza Mapato kwa Wajasiriamali
  5. Mbinu za Kufanikisha Ripoti za Kifedha za Kila Robo Mwaka

Afya

  1. Njia 10 za Kuimarisha Afya Mwanzoni mwa Mwaka Mpya
  2. Sababu 8 Zinazofanya Watu Kuchoka Sana Bila Kujua Chanzo

Jamii

  1. Jinsi ya Kuweka Malengo ya Familia na Maisha kwa Mwaka Mpya
  2. Tabia 10 Zinazoharibu Maisha ya Vijana Bila Wao Kujua

Februari: Mwezi wa Mahusiano na Familia

Walengwa haswa ni wapendanao katika msimu wa Valentine / mahusiano.

Jamii

  1. Sababu 10 Zinazosababisha Migogoro ya Ndoa
  2. Jinsi ya Kujenga Mahusiano Yenye Heshima na Maelewano

Afya

  1. Lishe Bora kwa Wanandoa na Familia
  2. Jinsi ya Kupunguza Stress Katika Mahusiano

Uchumi

  1. Makosa ya Fedha Yanayovunja Ndoa
  2. Biashara Ndogo Ambazo Wanandoa Wanaweza Kufanya Pamoja
  3. Mipango ya Kazi kwa Wafanyakazi na Waajiri
  4. Mbinu za Kufanikisha Usimamizi Bora wa Fedha

Machi: Mwezi wa Mafanikio Kikazi na Kiafya

Malengo hasa ni kuwafikia wateja wengi zaidi, hasa wenye changamoto za magonjwa sugu.

Afya

  1. Dalili 10 za Kisukari Ambazo Watu Wengi Hawazitambui Mapema
  2. Lishe Bora Kwa Watu Wenye Presha ya Damu

Jamii

  1. Jinsi Familia Inavyoweza Kumsaidia Mgonjwa wa Kisukari
  2. Makosa ya Mtindo wa Maisha Yanayosababisha Magonjwa

Uchumi

  1. Gharama za Magonjwa Sugu na Jinsi ya Kujilinda Kiuchumi
  2. Jinsi ya Kuokoa Fedha Kupitia Afya Bora
  3. Jinsi ya Kufanikisha Ukusanyaji wa Mapato kwa Taasisi za Elimu.
  4. Usimamizi wa Rasilimali Watu na Kazi Bora kwa Mwaka 2026.
  5. Matumizi ya IPSASs katika Taasisi za Kidini na Mashirika ya Kijamii.
  6. Kuongeza Tija kwa Kutumia Teknolojia ya Kisasa katika Uhasibu.

Aprili: Mwezi wa Mavuno ya Kilimo, Tathmini, Uwajibikaji na Maendeleo

Walengwa haswa ni wakulima wakijitathmini kutokana na mavuno wanayopata, faida na hasara za kilimo na za kutumia mbinu bora za kilimo.

Afya

  1. Faida za Kula Mboga na Matunda kwa Afya
  2. Lishe Bora Kutokana na Mazao ya Shambani

Jamii

  1. Jinsi Kilimo Kinavyoweza Kuinua Uchumi wa Familia
  2. Ushirikiano wa Vijana Katika Kilimo
  3. Siri za Kudumu Katika Ndoa Yenye Furaha.

Uchumi

  1. Jinsi ya Kulima Mahindi Kwa Faida Kubwa Tanzania
  2. Mbolea Bora Kwa Mahindi na Mazao Mengine
  3. Mipango Bora ya Uwazi Katika Ripoti za Kifedha.
  4. Jinsi ya Kupunguza Gharama na Kuongeza Tija kwa Taasisi.
  5. Kujenga Mfumo Imara wa Uhasibu kwa Wajasiriamali.
Mei: Mwezi wa Kilimo na Uchumi

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Kuimarisha Miradi ya Kilimo Kwa Kutumia Mbinu za Kisasa. 2. Kukuza Uchumi Kupitia Miradi ya Ushirika. 3. Kuandaa Mikakati ya Kudumu ya Fedha kwa Taasisi za Elimu. 4. Jinsi ya Kutumia Teknolojia Rahisi Kuongeza Tija Katika Kilimo. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Namna ya Kufanikisha Maisha ya Amani Katika Familia. 2. Lishe Bora kwa Wazee na Watu Wenye Magonjwa Sugu.

Juni: Mwezi wa Elimu na Kujifunza

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mbinu za Kuendesha Mafunzo ya Wafanyakazi kwa Tija. 2. Kuimarisha Utawala wa Shule Kupitia Mfumo wa QuickBooks. 3. Mipango ya Bajeti ya Nusu Mwaka kwa Taasisi na Wajasiriamali. 4. Elimu ya Msingi Juu ya Kodi na Ufuatiliaji wa Sheria za Kifedha. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Jinsi ya Kusimamia Changamoto za Kiafya Katika Familia. 2. Lishe Bora Kwa Wanafunzi Ili Kuongeza Ufanisi wa Kimasomo.

Julai: Mwezi wa Ujasiriamali na Ubunifu

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Kujenga Biashara Imara kwa Kufanya Utafiti wa Soko. 2. Mbinu za Kuvutia Wawekezaji Katika Miradi Midogo. 3. Ubunifu Katika Usimamizi wa Fedha za Familia na Taasisi. 4. Jinsi ya Kuongeza Ufanisi Kupitia Mipango Endelevu. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Misingi ya Kujenga Ndoa na Familia Yenye Amani. 2. Namna ya Kudhibiti Changamoto za Lishe Kwa Watu Wenye Shinikizo la Damu.

Agosti: Mwezi wa Ushirika na Maendeleo ya Jamii

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mipango ya Ushirika Ili Kukuza Uchumi wa Jamii. 2. Usimamizi wa Miradi ya Maendeleo Katika Mashirika ya Kijamii. 3. Jinsi ya Kuanzisha Mfumo wa Akiba na Mikopo kwa Wanajamii. 4. Uongozi Imara Katika Taasisi Kupitia Maadili na Uwajibikaji. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Mambo 10 Muhimu ya Kuzingatia Katika Malezi ya Watoto. 2. Lishe Sahihi Kwa Wanawake Wajawazito na Wanaonyonyesha.

Septemba: Mwezi wa Ufanisi wa Biashara na Uongozi

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mbinu za Kuboresha Mahusiano ya Kikazi Katika Taasisi. 2. Kuimarisha Biashara Ndogo Kupitia Ufuatiliaji wa Taarifa za Kifedha. 3. Matumizi ya Teknolojia Kuboresha Huduma za Kifedha. 4. Uongozi Bora Katika Biashara na Taasisi za Elimu. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Kujenga Mazingira Bora ya Mawasiliano Katika Familia. 2. Lishe Yenye Virutubisho Muhimu kwa Maisha Bora.

Oktoba: Mwezi wa Maendeleo Endelevu

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Kuendeleza Kilimo Kwa Matumizi ya Mbinu za Kisasa. 2. Mipango ya Mwaka Mpya ya Fedha na Miradi ya Maendeleo. 3. Kujenga Mfumo Bora wa Usimamizi wa Rasilimali Watu. 4. Elimu ya Mikopo na Uwekezaji kwa Jamii. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Namna ya Kushinda Changamoto za Ndoa Katika Dunia ya Sasa. 2. Lishe ya Kinga kwa Magonjwa Hatari.

Novemba: Mwezi wa Kazi na Ustawi

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Mipango ya Kuimarisha Tija ya Kazi Katika Mwaka Unaomalizika. 2. Ushauri wa Fedha kwa Mipango ya Mwaka Mpya. 3. Namna ya Kuandaa Ripoti ya Kifedha ya Mwisho wa Mwaka. 4. Kuimarisha Ushirikiano wa Kikazi Katika Taasisi na Mashirika. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Misingi ya Maisha Bora Katika Familia. 2. Lishe Sahihi Katika Msimu wa Sherehe.

Desemba: Mwezi wa Shukrani na Matayarisho ya Mwaka Mpya

ACAMABECA ENTERPRISE 1. Tathmini ya Mafanikio ya Mwaka 2026. 2. Kujifunza Kutoka Changamoto Ili Kuimarisha Mwaka Mpya. 3. Mikakati ya Kuboresha Huduma za Kifedha kwa Mwaka 2027. 4. Kuimarisha Ushirikiano wa Kimataifa Kupitia Mitandao ya Kitaaluma. FUHUWI CONSULTATION CENTRE 1. Asante kwa Familia na Wanajamii kwa Ushirikiano Mwaka Huu. 2. Jinsi ya Kuandaa Lishe Bora kwa Sherehe za Mwaka Mpya.

MPANGO MKUU WA MWAKA

Mwaka 2025

Kuanzisha tovuti (WEBSITE) ya SOHEECO Projects itakayojumuisha maudhui kutoka ACAMABECA (maudhui makuu) na FUHUWI (maudhui kiasi). Tovuti ya soheecoprojects.com ilikamilika na kutoa taarifa na huduma kwa masuala ya kijamii, kiafya, na kiuchumi.

Mwaka 2026

Kuiboresha tovuti (WEBSITE) ya SOHEECO Projects, na kuongeza wigo wa kutoa huduma na kuuza bidhaa bora zihusuzo jamii, afya na uchumi. Kubuni Apps zitakazoisadia Taasisi na mtu binafsi kuweza kufatilia hali ya kiuchumi ya taasisi na mtu binafsi, hali ya kijamii na kiafya hususani lishe bora.

HITIMISHO

Kupitia mipango hii, SOHEECO Projects inalenga kuimarisha maisha ya jamii kwa kutoa maarifa, huduma bora, na usaidizi wa kitaalamu katika nyanja mbalimbali. Mwaka 2026 ni mwaka wa mafanikio makubwa na ubunifu zaidi!  SOHEECO PROJECTS ADMINS, 2019 – 2026

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye
SOHEECO PROJECTS

SOHEECO PROJECTS

Kwa kawaida majibu hutolewa ndani ya saa moja.

I will be back soon

SOHEECO PROJECTS
“Habari 👋
Ni rafiki yako Francisco J. Kagoma, CEO & Founder | SOHEECO PROJECTS. Naweza kukusaidia vipi?”
WhatsApp