Jiunge na Uanachama wa SOHEECO – Jenga Ujuzi, Biashara na Maisha Endelevu
Pata maarifa ya vitendo, mafunzo ya kipekee, fursa za biashara na jamii inayokusaidia kukua kitaaluma, kifedha na kijamii.
Je, unakumbana na changamoto hizi?
❌ Unataka kujiendeleza lakini huna mwongozo sahihi
❌ Unasoma mengi mtandaoni bila mpango wa vitendo
❌ Unahitaji jamii ya watu wanaofikiria kama wewe
❌ Unataka biashara au maisha endelevu lakini hujui uanze wapi
Hauko peke yako – na suluhisho lipo.
Uanachama wa SOHEECO ni zaidi ya kujifunza – ni safari ya mabadiliko
Kupitia vifurushi vyetu vya uanachama, tunakuunganisha na maarifa sahihi, mafunzo ya vitendo, rasilimali za biashara, na mtandao wa watu wanaojali maendeleo endelevu, ustawi na mafanikio ya kweli.
Suluhisho Moja – Access Kamili kwa Wanachama
📘 PDF za Mafunzo ya Biashara, za Afya na Mahusiano
Mafunzo yaliyoandaliwa kwa lugha rahisi na yenye mwelekeo wa vitendo, yakikusaidia kuelewa biashara, mipango ya kifedha, uendeshaji na ukuaji endelevu hatua kwa hatua.
📦 ZIP Packages, Templates & Tools
Pakua pakeji, “templates” na zana tayari kwa matumizi kama business plans, reports, forms na mifumo ya kazi itakayookoa muda wako na kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa haraka.
🧠 Mwongozo wa Vitendo (Step-by-Step)
Miongozo ya hatua kwa hatua inayokuonyesha nini cha kufanya, lini na kwa namna gani—si nadharia, bali maelekezo halisi ya kutekeleza kwenye biashara, miradi yako, kuboresha afya yako, mahusiano, ndoa na familia yako.
🔄 Files Huongezwa Kila Mara.
Yote haya yanapatikana kwa wanachama wa SOHEECO PROJECTS kulingana na kifurushi chako.
Ukijiunga Unapata Nini?
✅ Mafunzo maalum yasiyopatikana kwa wasio-wanachama
✅ Maarifa ya biashara na maisha endelevu
✅ Fursa za kipekee za bidhaa & huduma ikiwemo ofa maalumu
✅ Ushiriki na jamii ya wanachama
✅ Mwongozo wa vitendo (si theory tu)
✅ Nafasi za ushirikiano na ukuaji
✅ Kuyafikia ma-files na kuya-download kulingana na kifurushi
✅ Hakuna malipo ya kila file
Chagua Kifurushi Kikufaacho
🎁 Kifurushi Starter – Wiki
⭐Jaribu
Tsh.2,000 / Wiki
Majaribio – Siku 3
Kwa wanaoanza au kujaribu mfumo wetu. Jaribu uhuru kamili kwa Wiki Moja
📚 Kifurushi Standard – Mwezi
⭐⭐⭐ Maarufu
Tsh.3,000/ Mwezi
Majaribio – Siku 5
Kwa wafanyabiashara na wanaojifunza. Furahia Elimu, Ushauri na Maarifa Kwa Mwezi Mzima!
💎 Kifurushi VIP – Mwaka
⭐⭐⭐⭐⭐ Chaguo Bora
Tsh.10,000/ Mwaka
Majaribio – Wiki 2
Kwa wanaotaka mafanikio ya muda mrefu. Jifunze, Jiimarisha, Jipatie Zaidi Kwa Kipindi cha Mwaka Mzima!
- ✅ Kusoma makala zote za blog bila kikomo
- ✅ Upatikanaji wa ebooks zote na machapisho yote kama PDF na ZIP kwenye maktaba
- ✅ Msaada wa Kisaikolojia/ mentorship kutoka kwa wataalamu wetu hadi saa 1.5 mara nyingi kwa kila wiki kwa mwaka mzima
- ✅ Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
- ⏳ Kipindi cha majaribio kinapatikana – hulipia kila mwaka baada ya majaribio
🎁 Bonus:
- ➕ Unaweza kuongezewa hadi miezi 3 zaidi ya huduma
- ➕ Unapewa punguzo mbalimbali za kununua bidhaa kwenye DUKA LETU na za kulipia MAFUNZO YETU
Wanachama Wanasema Nini?
“Uanachama wa SOHEECO ulinifungua macho na kunipa mwelekeo wa kweli wa biashara na maisha endelevu.” ~ Peter Gregory, Mwanza, Tanzania
“Files na mafunzo yalinisaidia kukuza biashara yangu.” ~ Hamida Rashid, Kigoma, Tanzania
Mfumo Salama & Wa Kuaminika
🔐 Malipo salama
👤 Account binafsi ya mwanachama
📂 Files hazionekani kwa wasio wanachama
🏢 Mfumo rasmi wa SOHEECO Projects
Maswali Yanaolizwa Kila Mara
Je, naweza ku-upgrade kifurushi?
Je, uanachama unalipwa kila mwezi au mwaka?
Je, naweza kuondoka muda wowote?
Ndiyo. Unaweza ku-upgrade kifurushi chako muda wowote na kulipa tofauti tu ya bei.
Ndiyo. Mafunzo yote yanapatikana online kupitia account yako ya mwanachama, saa 24/7.
Una chaguo la malipo ya kila mwezi au ya mwaka, kulingana na kifurushi utakachochagua.
Ndiyo. Una uhuru wa kughairi uanachama muda wowote bila masharti magumu.
Uko Tayari Kuwa Sehemu ya Mabadiliko?