Ushuhuda Na Maoni Kutoka Kwa Wateja Wetu

SOHEECO PROJECTS imekuwa ikikuhudumia kupitia huduma na bidhaa zinazogusa maisha halisi ya watu. Tunawashukuru wateja wetu waliotoa maoni yao na hata ushududa wao ili tuendelee kuboresha huduma zetu na kuzitoa zaidi! 

Kwa kifupi baadhi ya huduma na bidhaa bora zaidi tulizokuletea, hizi zifuatazo:

🏥 HUDUMA BORA ZA AFYA:

1.Lishe Bora & Kinga ya Mwili
> Ushauri wa kitaalamu kuhusu mlo sahihi na kuongeza kinga ya mwili kwa njia ya asili.

2. Udhibiti wa Magonjwa (mf. Kisukari, Vidonda, Mawe kwenye Figo)
> Kwa kutumia virutubisho salama na asilia na mtindo bora wa maisha.

3. Afya ya Wanawake (Homoni & Hedhi)
> Suluhisho la matatizo ya kiafya yanayowakumba wanawake kwa njia rafiki na salama.

❤️ HUDUMA BORA ZA MAHUSIANO:

4. Ushauri wa Ndoa na Mahusiano ya Kimapenzi
> Kujenga uaminifu, mawasiliano mazuri na mapenzi ya kweli.

5. Usuluhishi wa Migogoro
> Kutatua changamoto za mahusiano kwa njia ya amani na kuelewana.

6. Single Life Coaching
> Kujitambua, kujiamini na kujiandaa kwa ajili ya mahusiano ya baadaye.

💰 HUDUMA BORA ZA UCHUMI:

7. Mafunzo ya Ujasiriamali
> Hatua kwa hatua kutoka wazo hadi biashara inayokua.

8.Elimu ya Bajeti na Fedha Binafsi
> Kuweka akiba, kupunguza madeni na kutumia fedha kwa busara.

9. Ushauri wa Kifedha Mtandaoni
> Huduma popote ulipo kwa njia ya mtandao.

🛍 BIDHAA ZETU BORA:

10. Virutubisho vya Asili kwa Afya Njema
> Kwa ujenzi wa mwili, usafishaji wa sumu na kuboresha kinga.

11. E-Books za Maisha Bora
> Vitabu vya kidijitali kuhusu afya, mahusiano na uchumi/ ujasiriamali.

Sasa, soma ushuhuda huu/ maoni haya kutoka kwa wateja wetu waliopata matokeo kwa kutumia bidhaa na huduma zetu.

Baadhi ya Ushuhuda na Maoni ya Wateja Wetu

Ushuhuda kuhusu Lishe ya Mapera
“Asante nimeona na kujua thaman ya mapela, sasa ntakuwa mpenzi wayo”Unknown, Mgeni wa Tovuti, Tanzania, 24 April, 2025, 7:05 A.M
 
Tunakushukuru kuifurahia huduma yetu ya MAKALA ZA BLOG, na hongera sana kwa kuwa mmoja wa wanufaika. Ili kunufaika na makala hizi, tunawaarika wengine KUJISAJILI SASA HIVI, maana si makala zote utazipata bila kujisajili. Wanaonufaika zaidi ni wale waliojisajili. Bofya Hapa kujisajili na chagua kifurushi kinachoendana na Uchumi na mahitaji yako.
Ushuhuda Kuhusu Mahusiano
“Navutiwa na ‘WhatsApp Status’ zenu SOHEECO Projects kuhusu mahusiano” – Suzana K, Mhasibu, Mabamba, Kibondo, Tanzania, 26 May, 2025, 11:01 AM
 
Tunashukuru kuliona hilo, hakika ukikosa kuvutiwa na yahusuyo kada yako, iwe ni Uchumi, Uhasibu, Ujasiriamali, Umeneja, Ujasiriamali, Biashara, Fedha, Menejimenti, Ukaguzi, huwezi kosa la kukugusa hata kwenye Mahusiano, Ndoa, Familia, na Afya
 
SOHEECO PROJECTS tumejipanga kukuhudumia nyanja tatu kuu za maisha ya mtu – Afya, Mahusiano na Uchumi.
 
Share na wengine USHUHUDA huu nao wapate kunufaika
Ushuhuda kuhusu Super Gro
“Home ekar 3 tumepata gunia 36 wastan wa 12 Kila ekar supergroo 5l tu. Tunashukuru sana
Low running cost,, higher production.”– John, Mkulima & Mjasiriamali, Kasulu, Kigoma, Tan zania, 22 May 2025, 6:43 PM
 
Mkulima huyu amepata gunia 12 kwa kila ekari na alinunua Super Gro ya Lita 5, ambayo kwa msimu wa mvua inatumika hadi kwenye ekari 10. Yeye kwa Ekari 3 amepata gunia 36.
 
Mpendwa mteja, tumia tena Super Gro kwenye msimu uanaofuata. Kwa hakika utavuna zaidi, kuanzia gunia 20 hadi 30 (gunia za debe 7) kwa ekari  iwapo utafuata kanuni zote za kilimo tangu kupanda hadi kuhifadhi. Hiyo ndio moja ya kazi ya Super Gro, mkombozi wa mkulima, gharama kidogo ila mazao mengi. Ukiona umeitumia Super Gro na hukupata matokeo, jiulize ulikosea wapi, tangu KUANDAA SHAMBA, KUPANDA, KUPALILIA, KUTIBU WADUDU NA FANGASI, KUVUNA HADI KUHIFADHI,  maana Super Gro ni mbolea ya Kimataifa – wakulima wengi sana ndani na nje ya nchi wanatumia na kutafuta SUPER GRO kwa shauku sana.

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye
SOHEECO PROJECTS

SOHEECO PROJECTS

Kwa kawaida majibu hutolewa ndani ya saa moja.

I will be back soon

SOHEECO PROJECTS
“Habari 👋
Ni rafiki yako Francisco J. Kagoma, CEO & Founder | SOHEECO PROJECTS. Naweza kukusaidia vipi?”
WhatsApp