eBook_Boresha Afya, Uchumi na Mahusiano Yako Leo_Vol.1_Toleo la 8 Apr.2025

Original price was: Sh 10,000.Current price is: Sh 6,500.

Category:

Description

Katika mazingira ya sasa ya elimu nchini Tanzania, shule binafsi zinakua kwa kasi na kuchukua nafasi muhimu katika kukuza maarifa, maadili na maendeleo ya jamii. Hata hivyo, changamoto kubwa inajitokeza katika muundo wa kiuongozi, mgawanyo wa majukumu, na utekelezaji wa sheria zinazotawala sekta ya elimu.

 

Sheria kama vile Sheria ya Elimu ya 1978, Kanuni za Elimu za 2002, pamoja na Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya 2004, zinaweka misingi ya jinsi shule zinavyopaswa kuendeshwa. Lakini kwa bahati mbaya, shule nyingi, hasa zile binafsi, zimekuwa zikiendeshwa kwa mazoea, hisia, au maamuzi ya mtu mmoja mmoja bila mwongozo wa kisheria au kiutawala.

 

ebook_Boresha Afya, Uchumi na Mahusiano Yako –Vol.1_8-4-2025, inalenga kuleta ufafanuzi wa kitaalamu juu ya nafasi za kiuongozi katika shule – kama vile Meneja Mkuu, Meneja Msaidizi (Assistant Manager), Mkuu wa Shule, na Msarifu (Bursar) – na kueleza kwa kina namna majukumu yao yanavyopaswa kuainishwa, kugawanywa, na kutekelezwa kwa mujibu wa sheria za Tanzania.

 

Nunua hii eBook upate kunufaika na maarifa yaliyo ndani yake. Bofya “Nunua Sasa Hivi” ☝️☝️hapo juu kulipia sasa hivi.

Mara baada ya kulipia kwa kuchagua njia ya malipo iliyo rafiki kwako kati ya hizo tajwa hapo juu, utatumiwa link kwenye “email yako” kama inavyoonekana hapo JUU PICHANI, uweze ku-download E-Book hiyo.

Karibu sana 🙏🙏🙏

Bado ungependa kufahamu kuhusu virutubisho vyetu?

NdiyoHapana, nataka kujifunza zaidi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “eBook_Boresha Afya, Uchumi na Mahusiano Yako Leo_Vol.1_Toleo la 8 Apr.2025”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye