Huduma za SOHEECO Projects

Tunatoa huduma za kitaalamu zinazokusaidia kutatua changamoto halisi, kuchukua hatua sahihi, na kujiunga na mfumo wa maendeleo unaokuza ustawi, maarifa na mafanikio ya muda mrefu.

Huduma Zetu Zimejengwa Kukusaidia Kuchukua Hatua

SOHEECO haitoi huduma kwa ajili ya za ushauri tu, bali inakupa mwelekeo, maarifa na zana za kukuongoza kutoka tatizo hadi suluhisho endelevu.

Ushauri wa Binafsi

Ushauri wa faragha unaolenga changamoto zako binafsi katika jamii, afya au uchumi.

  • Suluhisho binafsi

  • Mwongozo wa vitendo

  • Mawasiliano ya moja kwa moja

 

Mafunzo & Programu

Mafunzo ya vitendo yanayokuwezesha kujifunza na kutekeleza kwa mfumo wa hatua kwa hatua.

  • Jamii

  • Afya

  • Uchumi

 

Bidhaa & Rasilimali

Miongozo, PDF, ZIP, na zana za kukusaidia kutekeleza haraka bila kubahatisha.

  • Templates

  • Miongozo

  • Zana

 

Mfumo wa SOHEECO Unavyofanya Kazi

Mafanikio ya kweli hayapatikani kwa hatua moja. Ndiyo maana huduma zetu zimeunganishwa kwenye mfumo mmoja.

  1. Huduma – Tambua mwelekeo

  2. Mafunzo – Jenga maarifa

  3. Uanachama – Pata msaada endelevu

  4. Bidhaa – Tekeleza haraka

Uko Tayari Sasa Kuanza Safari ya Maendeleo?

Chagua huduma inayokufaa au jiunge na uanachama wetu ili kupata thamani zaidi.

 

 

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye
SOHEECO PROJECTS

SOHEECO PROJECTS

Kwa kawaida majibu hutolewa ndani ya saa moja.

I will be back soon

SOHEECO PROJECTS
“Habari 👋
Ni rafiki yako Francisco J. Kagoma, CEO & Founder | SOHEECO PROJECTS. Naweza kukusaidia vipi?”
WhatsApp