Jiunge na Uanachama wa SOHEECO โ€“ Jenga Ujuzi, Biashara na Maisha Endelevu

Pata maarifa ya vitendo, mafunzo ya kipekee, fursa za biashara na jamii inayokusaidia kukua kitaaluma, kifedha na kijamii.

Je, unakumbana na changamoto hizi?

  • โŒ Unataka kujiendeleza lakini huna mwongozo sahihi

  • โŒ Unasoma mengi mtandaoni bila mpango wa vitendo

  • โŒ Unahitaji jamii ya watu wanaofikiria kama wewe

  • โŒ Unataka biashara au maisha endelevu lakini hujui uanze wapi

Hauko peke yako โ€“ na suluhisho lipo.

Uanachama wa SOHEECO ni zaidi ya kujifunza โ€“ ni safari ya mabadiliko

Kupitia vifurushi vyetu vya uanachama, tunakuunganisha na maarifa sahihi, mafunzo ya vitendo, rasilimali za biashara, na mtandao wa watu wanaojali maendeleo endelevu, ustawi na mafanikio ya kweli.ย 

Suluhisho Moja โ€“ Access Kamili kwa Wanachama

๐Ÿ“˜ PDF za Mafunzo ya Biashara, za Afya na Mahusiano

Mafunzo yaliyoandaliwa kwa lugha rahisi na yenye mwelekeo wa vitendo, yakikusaidia kuelewa biashara, mipango ya kifedha, uendeshaji na ukuaji endelevu hatua kwa hatua.

๐Ÿ“ฆ ZIP Packages, Templates & Tools

Pakua pakeji, “templates” na zana tayari kwa matumizi kama business plans, reports, template za mikataba, forms na mifumo ya kazi itakayookoa muda wako na kukusaidia kufanya maamuzi sahihi kwa haraka.

๐Ÿง  Mwongozo wa Vitendo (Step-by-Step)

Miongozo ya hatua kwa hatua inayokuonyesha nini cha kufanya, lini na kwa namna ganiโ€”si nadharia, bali maelekezo halisi ya kutekeleza kwenye biashara, miradi yako, kuboresha afya yako, mahusiano, ndoa na familia yako.

๐Ÿ”„ Files Huongezwa Kila Mara.

Yote haya yanapatikana kwa wanachama wa SOHEECO PROJECTS kulingana na kifurushi chako.

Ukijiunga Unapata Nini?

โœ… Mafunzo maalum yasiyopatikana kwa wasio-wanachama
โœ… Maarifa ya biashara na maisha endelevu
โœ… Fursa za kipekee za bidhaa & huduma ikiwemo ofa maalumu
โœ… Ushiriki na jamii ya wanachama
โœ… Mwongozo wa vitendo (si theory tu)
โœ… Nafasi za ushirikiano na ukuaji
โœ… Kuyafikia ma-files na kuya-download kulingana na kifurushi
โœ… Hakuna malipo ya kila file

Chagua Kifurushi Kikufaacho

๐ŸŽ Kifurushi Starter โ€“ Wiki

โญJaribu

Tsh.2,000 / Wiki

Kwa wanaoanza au kujaribu mfumo wetu. Jaribu uhuru kamili kwa Wiki Moja


  • โœ… Kusoma makala chache za blog
  • โœ… Kuona, kufungua na kupakua baadhi ya ebooks na machapisho kama Zip na PDF
  • โœ… Msaada wa Kisaikolojia/ mentorship kutoka wataalamu wetu mara 2 kwa wiki (saa 1 kwa kila awamu)
  • โœ… Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
  • โณ Unalipia kila wiki au baada ya hapo unaweza panda kulipia cha kila mwezi au mwaka

๐Ÿ“š Kifurushi Standard โ€“ Mwezi

โญโญโญ Maarufu

Tsh.3,000/ Mwezi

Kwa wafanyabiashara na wanaojifunza. Furahia Elimu, Ushauri na Maarifa Kwa Mwezi Mzima!


  • โœ… Kusoma makala nyingi za blog
  • โœ… Kuona, kufungua na kupakua ebooks na machapisho mengi kama ZIP na PDF
  • โœ… Msaada wa Kisaikolojia/ mentorship kutoka wataalamu wetu mara 4 kwa mwezi (saa 1 kwa kila awamu)
  • โœ… Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
  • โณ Unalipia kila mwezi au kwa mwezi baada ya hapo unaweza panda kulipia cha mwaka

๐Ÿ’Ž Kifurushi VIP โ€“ Mwaka

โญโญโญโญโญ Chaguo Bora

Tsh.10,000/ Mwaka

Kwa wanaotaka mafanikio ya muda mrefu. Jifunze, Jiimarisha, Jipatie Zaidi Kwa Kipindi cha Mwaka Mzima!


  • โœ… Kusoma makala zote za blog bila kikomo
  • โœ… Upatikanaji wa ebooks zote na machapisho yote kama PDF na ZIP kwenye maktaba
  • โœ… Msaada wa Kisaikolojia/ mentorship kutoka kwa wataalamu wetu hadi saa 1.5 mara nyingi kwa kila wiki kwa mwaka mzima
  • โœ… Unakuwa wa kwanza kupata taarifa mara kunapotumwa makala
  • โณ Unalipia kila mwaka

๐ŸŽ Bonus:

  • โž• Unaweza kuongezewa hadi miezi 3 zaidi ya huduma
  • โž• Unapewa punguzo mbalimbali za kununua bidhaa kwenye DUKA LETU na za kulipia MAFUNZO YETU

Wanachama Wanasema Nini?

โ€œUanachama wa SOHEECO ulinifungua macho na kunipa mwelekeo wa kweli wa biashara na maisha endelevu.โ€ ~ Peter Gregory, Mwanza, Tanzania

โ€œFiles na mafunzo yalinisaidia kukuza biashara yangu.โ€ ~ Hamida Rashid, Kigoma, Tanzania

Mfumo Salama & Wa Kuaminika

  • ๐Ÿ” Malipo salama

  • ๐Ÿ‘ค Account binafsi ya mwanachama

  • ๐Ÿ“‚ Files hazionekani kwa wasio wanachama

  • ๐Ÿข Mfumo rasmi wa SOHEECO Projects

Maswali Yanaolizwa Kila Mara

  • Je, naweza ku-upgrade kifurushi?
  • Je, mafunzo ni online?
  • Je, uanachama unalipwa kila mwezi au mwaka?
  • Je, naweza kuondoka muda wowote?

Ndiyo. Unaweza ku-upgrade kifurushi chako muda wowote na kulipa tofauti tu ya bei.

Ndiyo. Mafunzo yote yanapatikana online kupitia account yako ya mwanachama, saa 24/7.

Una chaguo la malipo ya kila mwezi au ya mwaka, kulingana na kifurushi utakachochagua.

Ndiyo. Una uhuru wa kughairi uanachama muda wowote bila masharti magumu.

Uko Tayari Kuwa Sehemu ya Mabadiliko?

โœ•

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza
โœ•

Karibu tena SOHEECO ๐Ÿ‘‹

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye
SOHEECO PROJECTS

SOHEECO PROJECTS

Kwa kawaida majibu hutolewa ndani ya saa moja.

I will be back soon

SOHEECO PROJECTS
โ€œHabari ๐Ÿ‘‹
Ni rafiki yako Francisco J. Kagoma, CEO & Founder | SOHEECO PROJECTS. Naweza kukusaidia vipi?โ€
WhatsApp