TRE – EN – EN – 60 Capsules

Sh 55,000

Category: Brand:

Description

IFAHAMU TRE-EN-EN NA FAIDA ZAKE

TRE-EN-EN ni virutubisho (supplement) chenye mchanganyiko wa mafuta ya mimea inayojumuisha mafuta ya ngano, mchele, na soya.

Tre-En-En inajulikana kwa kazi zifuatazo:

1. KUSAIDIA AFYA YA SELI: Tre-En-En inasaidia kuimarisha utendaji wa kuta za seli kwa kuboresha usambazaji wa virutubisho ndani ya seli na kutoa taka nje ya seli. Hii husaidia seli kufanya kazi vizuri na kuongeza afya ya jumla ya mwili. Hivyo husaidia katika Afya ya moyo.

2. KUBORESHA UFYONZWAJI WA VIRUTUBISHO: Inaweza kusaidia mwili wako kunyonya vizuri zaidi virutubisho muhimu kutoka kwenye chakula, kama vile vitamini, madini, na protini, kwa kuboresha ufyonzwaji wake katika seli.

3. KUONGEZA NISHATI: Kwa kuboresha afya ya seli na ufyonzwaji wa virutubisho, Tre-En-En inaweza kusaidia kuongeza viwango vya nishati mwilini, na hivyo kusaidia mwili kuwa na nguvu na kustahimili uchovu. Hivyo HUONDOA UCHOVU.

4. KUSAIDIA MFUMO WA KINGA: Kwa kusaidia seli kufanya kazi vizuri, Tre-En-En inaweza kusaidia kuboresha mfumo wa kinga wa mwili, hivyo kuuwezesha mwili kupambana na magonjwa kwa ufanisi zaidi.

5. KUSAIDIA USAWA WA HOMONI: Virutubisho vinavyopatikana katika Tre-En-En vinaweza kusaidia kuweka usawa wa homoni mwilini, jambo ambalo ni muhimu kwa afya ya jumla na ustawi.

Kwa ujumla, Tre-En-En inalenga kusaidia mwili kufanya kazi kwa ufanisi zaidi kwa kuimarisha afya ya seli, kuongeza nishati, na kuboresha ufyonzwaji wa virutubisho muhimu.

Zipo kopo zenye vidonge 60 na zenye vidonge 120.

**************************************

Weka Oda yako Sasa (Add to Cart), Bei ZETU ni NAFUU SANA na kwa Bei ya Punguzo. WAHI SASA kabla Ofa hii ya Punguzo haijaisha na kabla BIDHAA hazijaisha.

Bado ungependa kufahamu kuhusu virutubisho vyetu?

NdiyoHapana, nataka kujifunza zaidi

Reviews

There are no reviews yet.

Be the first to review “TRE – EN – EN – 60 Capsules”

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Karibu SOHEECO Projects

Mahali pa kupata Afya Bora, Maarifa Sahihi na Mbinu za Kujitegemea.

Chagua unachotaka kuanza nacho:

Hapana, Nitasoma Makala Kwanza

Karibu tena SOHEECO 👋

Tuliona ulitembelea tovuti yetu lakini hujachagua bado.

Hapana, Labda Baadaye